ROYAL LINE EXPRESS (Maleo skin)

ROYAL LINE EXPRESS (Maleo skin)

Royal Line Express Skin ni muonekano wa kishua ulioundwa kwa ajili ya madereva wanaotaka basi lao lionekane lenye thamani, heshima, na mvuto wa hali ya juu ndani ya game ya Maleo.