KAPRICORN ROYAL CLASSIC (maleo skin)

KAPRICORN ROYAL CLASSIC (maleo skin)

Classic haijawahi kupitwa na wakati! Kapricorn Royal Classic inakurudisha kwenye enzi za heshima barabarani ikiwa na muonekano wa kifalme. Kama unataka basi lako lionekane la kistaa na lenye mvuto wa kipekee, hii ndiyo chaguo lako. Ivae sasa, uwe mfalme wa safari!