GEITA EXPRESS (Maleo skin)
Kutoka machimboni hadi barabara kuu! Geita Express inakupa muonekano wa 'Chuma' kinachopendwa na kila mtu. Kama unataka watu wakuheshimu unapoingia stendi kwenye Multiplayer, hii ndiyo skin yako sahihi. Ivae leo, uwe lulu ya barabarani!