FRESTER (Maleo skin)

FRESTER (Maleo skin)

Kama unataka basi lako liwe na 'vibe' la kipekee ambalo kila mchezaji wa Multiplayer atakuuliza umeipata wapi, Frester ndiyo jibu! Ivae sasa, ubadili muonekano wa basi lako kuwa wa kijanja na wa kisasa zaidi. Usikubali kupitwa!